Wagiriki wanavyojitayarisha kuelekea Uchaguzi wa Bunge la Ulaya | Matukio ya Kisiasa | DW | 17.05.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Wagiriki wanavyojitayarisha kuelekea Uchaguzi wa Bunge la Ulaya

Tarehe 23 Mei, wapiga kura kwenye mataifa wanachama wa Umoja wa Ulaya wataanza kuwachaguwa wabunge wa kuwawakilisha kwenye Bunge la Ulaya. Mohammed Khelef amezungumza na Kayu Ligopora, Mtanzania anayeishi kwenye mji mkuu wa Ugiriki, Athens, kutaka kujuwa namna Wagiriki wanavyojitayarisha kuelekea uchaguzi huo muhimu kwa siasa za Ulaya.

Sikiliza sauti 03:39