Waghana wapiga kura kumchagua rais | Media Center | DW | 07.12.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Waghana wapiga kura kumchagua rais

Raia wa Ghana leo wamepiga kura kuchagua rais na wabunge katika uchaguzi mkuu. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel achaguliwa tena kukiongoza chama chake cha CDU kuelekea uchaguzi mkuu hapo mwakani. Na rais wa Marekani Barack Obama ametoa hotuba yake ya mwisho ya masuala ya usalama. Papo kwa Papo 07.12.2016

Tazama vidio 01:50
Sasa moja kwa moja
dakika (0)