Wafuasi wa Trump wahama Twitter baada ya kiongozi wao kufungiwa | Makala | DW | 20.01.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Makala

Wafuasi wa Trump wahama Twitter baada ya kiongozi wao kufungiwa

Wafuasi wengi wa Donald Trump wameihama mitandao ya kijamii ya Facebook na Twitter tangu Trump alipofungiwa akaunti zake, kwa madai ya kuwachochea baadhi yao hata wakavamia majengo ya bunge la nchi hiyo. Je, kampuni zinazomiliki majukwaa hayo zina haki ya kuwanyima watu uhuru wa kujieleza?