1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wafanyakazi wa tume ya umoja wa mataifa wameanzisha mgomo nchini Kongo

23 Agosti 2007

Raia wa Kongo wanaofanya kazi kwenye tume ya umoja wa mataifa nchini humo wameanzisha mgomo na kuandamana hii leo mjini kinshasa ilikuomba nyongeza za mishahara na kupewa heshima kama wafanyakazi wengine wa Umoja wa mataifa .

https://p.dw.com/p/CH9E
Si tu wanajeshi wanaofanya kazi kwa Umoja wa Mataifa DRC
Si tu wanajeshi wanaofanya kazi kwa Umoja wa Mataifa DRCPicha: AP

Kwa wakati huohuo MONUC imesema kwamba wanajeshi 57 wa jeshi jipya
la DRC wametoroka jeshini,jimboni kivu ya kaskazini.

Ripoti kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo kutoka Kinshasa.