Wafadhili wakutana Geneva kuchangisha fedha za kuisaidia Congo | Anza | DW | 13.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Wafadhili wakutana Geneva kuchangisha fedha za kuisaidia Congo

Maafisa wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa UIaya wanakutana leo mjini Geneva - Uswisi katika juhudi za kuchangisha karibu dola milioni 1.7 kwa ajili ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo inayokabiliwa na mzozo ambao wataalamu wanasema unaweza kugeuka janga

Tazama vidio 00:51
Sasa moja kwa moja
dakika (0)