1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wachoraji wa Bukavu wageuza taka kuwa dhahabu

19 Julai 2022

Wakiwa na umri wa miaka ishirini na tano, Cikuru Cirimwami na Cito Cirimwami ni mapacha wenye taaluma ya uchoraji kwakutumia vitepe, mchanga na takataka zingine walizokusanya mitaani

https://p.dw.com/p/4EMa5