SiasaWachekeshaji wanaowaiga Trump na KimTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaSaumu Mwasimba11.06.201811 Juni 2018Wachekeshaji wanaowaiga rais Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim nao wajipanga kukutana kivyao Singapore. Wajitapa kwa kudai ndio chachu ya viongozi hao wawili kupata fikra ya kukutana kuutatua mgogoro wa Nyuklia wa Korea Kaskazini.https://p.dw.com/p/2zIFLMatangazo