1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wachambuzi wazungumzia uteuzi na utenguzi wa rais Samia

Babu Abdalla6 Januari 2023

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amtengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Ikulu, Kamishna Diwani Athumani siku mbili baada ya kumteua, akitokea idara ya usalama wa taifa alikokuwa mkuu wa idara hiyo. Taarifa ya ikulu haikuwa na taarifa zaidi za utenguzi huo. Babu Abdallah alizungumza na mchambuzi wa siasa wa chuo kikuu cha Dar es Salaam Nassoro Kitunda aliyesema haya. Sikiliza.

https://p.dw.com/p/4LoM5