Waasi waua watu 8 nchini DRC | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 06.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Waasi waua watu 8 nchini DRC

Watu wanane wakiwemo askari 6 wa jeshi la Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wameuliwa mashariki mwa nchi hiyo, na kufikisha idadi ya watu 19 waliouawa kutokana na mashambulizi ya makundi yenye silaha katika eneo hilo tangu mwanzoni mwa mwezi Julai.

Tazama vidio 02:05