Waasi wa FDLR wagoma kwenda kwenye makazi mapya | Matukio ya Afrika | DW | 14.08.2014
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Waasi wa FDLR wagoma kwenda kwenye makazi mapya

Wapiganaji wa kundi la waasi la FDLR wa Rwanda wanaoendesha harakati zao mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekataa kwenda Kisangani.

Waasi hao wamekuwa wakisubiriwa kuondoka maeneo ya Kivu kwenda Kisangani kwa muda sasa. Mwandishi wetu John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Beni. Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za maskioni hapo chini.

Mwandishi: John Kanyuyu

Mhariri:Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada