1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waasi wa FDLR wadhibiti maeneo yalioachwa na serikali

17 Aprili 2012

Waasi wa kundi la FDLR wamedhibiti maeneo yaliyoachwa na serikali mashariki mwa Kongo.

https://p.dw.com/p/14f72
Waasi wa FDLR
Waasi wa FDLRPicha: AP

Siku chache baada ya rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo Joseph Kabila kuchukua hatua ya kusitisha operesheni za kijeshi katika mkoa Wa Kivu ya kaskazini, na kutokana na kujiondoa kwa wanajeshi katika maeneo kadhaa, waasi wa kundi la FDLR wamedhibiti maeneo mengi yaliyoachwa na majeshi ya serikali. Hali hiyo imewafanya raia kuhama makaazi yao na kukimbilia mahala pengine. Hii hapa ripoti yake John Kanyunyu kutoka Bunia.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Yusuf Saumu

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi