Vyombo vya Mawasiliano na Habari– Kipindi 6 –Uhuru wa vyombo vya habari
11 Novemba 2010
Baada ya Young Junior, Charlie na Sister P, kuzungumza na mkurugenzi wa shule ya uandishi wa habari, wamekutana na wafanyakazi wa kutengeneza filamu na wamevutiwa kutaka kujivunza zaidi kuhusu televisheni.