Vyakula vyenye uchachu kama limau vina madhara tumboni wakati wa mfungo? | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 27.04.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Vyakula vyenye uchachu kama limau vina madhara tumboni wakati wa mfungo?

Je wakati mtu anafuturu, ni salama anapokula vyakula vyenye uchachu kama vile limau na ndimu? Je vyakula vilivyo na 'asidi' huweza kukudhuru ukila kama chakula cha kwanza wakati wa kufuturu? Sikiliza mtizamo wa daktari.

Tazama vidio 01:29