1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vyakula maarufu vya Forodhani

26 Julai 2021

Unapofika visiwani Zanzibar maarufu visiwa vya marashi ya karafuu hutokubali kuondoka bila ya kutembelea soko maarufu la vyakula vya baharini la Forodhani. Fuatana na Yakub Talib katika video hii. #kurunzi 26.07.2021

https://p.dw.com/p/3y4ed