1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vizuizi vyaongezeka mpaka wa Goma-Gisenyi kutokana na Ebola

Benjamin Kasembe22 Agosti 2019

Wakazi wa eneo la mpakani la miji ya Goma na Gisenyi kati ya Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na Rwanda walalamika juu ya ongezeko la masharti kabla yakuuvuka mpaka huo. Masharti hayo yanakusudiwa kama tahadhari ya kuudhibiti ugonjwa wa Ebola.

https://p.dw.com/p/3OJm3