Viwanja: Kombe la Dunia Urusi 2018 | Mada zote | DW | 28.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Michezo

Viwanja: Kombe la Dunia Urusi 2018

Kombe la Dunia Urusi litachezwa katika viwanja 12 kati ya mwezi Juni 14 na Julai 15. Ifuatayo ni orodha ya viwanja vitakavyotumika kwenye kundumbwendumbwe hicho.