1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vituo vitano vya Televisheni vyapigwa maarufuku nchini DRC

10 Septemba 2008

Vituo vitano vya televisheni vinavyomilikiwa na watu binafsi katika jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, DRC vimepigwa marufuku kutangaza nchini humo.

https://p.dw.com/p/FFbW

Serikali inalaumu vituo hivyo kwa kutokutekeleza nidhamu na kanuni za utangazaji.

Lakini shirika la kutetea haki za waandishi habari nchini humo limelalamikia hatua hiyo.

Zaidi na mwandishi wetu mjini Kinshasa Saleh Mwanamilongo.