1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vita vya kisiasa Congo, kulikoni?

13 Mei 2020

Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi amemuondoa kwa muda mkuu wake wa shughuli za ikulu Vital Kamerhe na nafasi yake kuchukuliwa na naibu mkurugenzi wa baraza la mawaziri Kolongele Eberande, siku chache tu baada ya Kamerhe ambaye ametangaza kuwania Urais mwaka 2023 kukamatwa kwa tuhuma za ubadhirifu. Mchambuzi wa siasa kutoka DRC Fidel Bafilemba na anazungumzia sakata hilo.

https://p.dw.com/p/3cAwU