Visa vya watu kutoweka vyaongezeka Tanzania | Matukio ya Afrika | DW | 10.07.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Visa vya watu kutoweka vyaongezeka Tanzania

Kumekuwa na taarifa za watu mbali mbali kutekwa na baada ya muda kupatikana nchini Tanzania. Tukio la hivi karibuni linamhusisha Alan Kiluvya. DW imezungumza mwanasiasa wa ACT Wazalendo Ado Shaibu na kutaka kujua sababu ya kutokea matukio kama hayo Tanzania.

Sikiliza sauti 02:36