1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Visa vya mauaji na ukatili wa kijinsia kwa wanawake Tanzania

14 Julai 2021

Jeshi la polisi Tanzania limekiri kuwepo na matukio ya mauaji na ukatili wa kijinsia kwa wanawake katika maeneo mbalimbali nchini humo. Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai nchini humo, Camilius Wambura, amesema kumeripotiwa matukio kadhaa ya wanawake kuuwawa kwa wivu wa kimapenzi, watoto wadogo kubakwa na vikongwe kuuwawa kwa imani za kishirikina.

https://p.dw.com/p/3wTIt