Virusi vya Corona vinaendelea kuisumbua Ujerumani | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 05.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Virusi vya Corona vinaendelea kuisumbua Ujerumani

Mapema wiki hii Ujerumani ilianza kufuata masharti mapya na vizuizi vinavyolenga kukabiliana na maambukizi ya corona. Ni katika wimbi la pili la COVID 19 linaloendelea kuisumbua Ulaya. Hali ya corona ipo vipi hapo ulipo?

Tazama vidio 01:29