Virusi vya Corona: Ulaya chini ya kifungo | Mada zote | DW | 25.03.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Virusi vya Corona: Ulaya chini ya kifungo

Miito ya kutaka watu kujitenga na wengine na marufuku ya kusafiri imeilazimisha miji mikubwa ya barani Ulaya kusalia tupu wakati serikali kote barani humo zikichukua hatua nzito kudhibiti kusambaa kwa ugonjwa wa COVID-19