JamiiVipimo kila kona!To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiLilian Mtono19.03.202019 Machi 2020Ni katika eneo la Namanga kunakopatikana mpaka wa Kenya na Tanzania. Virusi vya corona vimekuwa tishio kila kona. Na sasa hupiti kokote bila ya kupimwa. Veronica Nathalis ametuandalia video hii. #Kurunzihttps://p.dw.com/p/3ZiKbMatangazo