Vipaji ajabu vya pua za wanyama | Mada zote | DW | 17.05.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Vipaji ajabu vya pua za wanyama

Sisi binadamu hutumia pua zetu kunusia na kuvutia pumzi, na hazina nguvu sana ya kunukiliza. Baadhi ya wanyama pua zao zina nguvu sana. Hawa hapa wanyama sita wenye pua zenye nguvu kubwa ya kunukiliza .