1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa Korea wakutana ana kwa ana

Iddi Ssessanga
27 Aprili 2018

Korea Kusini na Kaskazini zimeahidi kumaliza vita na kutafuta amani ya kudumu. Ni baada ya mkutano wa kihistoria wa kilele kati ya viongozi wakuu wa mataifa hayo yaliotenganishwa na vita vya Korea vya mwaka 1950-53. Papo kwa papo 27.04.2018

https://p.dw.com/p/2wnbo