Viongozi wa dini wakutana na IEBC | Matukio ya Afrika | DW | 26.05.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Viongozi wa dini wakutana na IEBC

Mkutano kati ya viongozi wa dini na makamishna wa Tume ya Uchaguzi IEBC una nia ya kutatua mvutano kati ya tume na muungano wa upinzani CORD. Upinzani umeahirisha maandamano ya kila Jumatatu.

Sikiliza sauti 02:32
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Ripoti ya Alfred Kiti kutoka Nairobi

Sauti na Vidio Kuhusu Mada