1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi mahasimu wa Libya wanakutana

Sudi Mnette
29 Mei 2018

Viongozi wa Libya wanaohasimiana wanakutana wakiwa katika shinikizo la kuafikiana juu ya mpango wa kisiasa ambao unaweza kusaidia uchaguzi mkuu kufanyika kabla mwisho wa mwaka huu.

https://p.dw.com/p/2yVEm