1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi kutoka Afrika na Ulaya wakutana Abidjan.

Zainab Aziz
29 Novemba 2017

Zaidi ya viongozi 80 kutoka Afrika na Ulaya wakutana Abidjan, Korea Kaskazini yarusha kombora jingine la masafa marefu na Mwana wa Mfalme wa Saudi Arabia aliyezuiwa kwa tuhuma za rushwa aachiwa huru. Papo kwa Papo 29.11.2017.

https://p.dw.com/p/2oUsl