1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi kadhaa wa Chadema watiwa hatiani nchini Tanzania

Amina Mjahid
10 Machi 2020

Mahakama ya hakimu mkaazi kisutu jijini Dar es alaam amewakuta na hatia viongozi 8 wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA katika mashtaka 12 kati ya 13 yaliokuwa yanawakabili, ikiwemo uchochezi.

https://p.dw.com/p/3ZAN0