1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi hasimu wa Sudan Kusini kugawana madaraka

Sylvia Mwehozi
26 Julai 2018

Viongozi wanaohasimiana wa Sudan Kusini, Rais Salva Kiir na makamu wake wa zamani Riek Machar, wamesaini mkataba wa awali wa kugawana madaraka. Machar atakabidhiwa tena wadhifa wake wa kuwa makamu wa kwanza wa rais.Papo kwa Papo 26.07.2018

https://p.dw.com/p/327mZ