1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vinyozi wa kujitolea bila malipo

15 Oktoba 2019

Kutana na kundi la vinyozi nchini Ujerumani ambao hutoa huduma zao bila ya malipo kwa watu wasiojiweza na wasiokuwa na makao. Je huduma hii yao ya bila malipo inawasaidia vipi? Je unafikiri vinyozi au wataalamu katika eneo lako wanaweza kuiga mfano huu?

https://p.dw.com/p/3RLLh