VILNIUS: Waziri Steinmeier ziarani Lithuania | Habari za Ulimwengu | DW | 13.07.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

VILNIUS: Waziri Steinmeier ziarani Lithuania

Waziri wa masuala ya nje wa Ujerumani,Frank-Walter Steinmeier,amewasili Vilnius,mji mkuu wa Lithuania.Hapo awali,Steinmeier alizizuru Estonia na Latvia pia akiwa katika ziara yake ya kwanza katika nchi za Baltik.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com