Vilabu vya Bundesliga vitafanya vipi katika msimu wa 2017-18? | Mada zote | DW | 15.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Michezo

Vilabu vya Bundesliga vitafanya vipi katika msimu wa 2017-18?

Nani atashinda Taji la Bundesliga, nani ataingia Kinyang'anyiro cha Mabingwa, nani atafika kwenye Mabingwa wa Uropa na nani atashushwa daraja? Ufuatao ni utabiri wetu jinsi timu 18 za Bundesliga zitakavyochuana 2017-18.