Vikwazo dhidi ya Syria vyavuruga matibabu ya Saratani | Mada zote | DW | 26.07.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Vikwazo dhidi ya Syria vyavuruga matibabu ya Saratani

Madaktari kwenye wodi ya watoto wanaougua saratani katika hospitali ya watoto ya Damascus wanahaha kwa upungufu mkubwa wa dawa zatiba, lakini hii si tu kwa sababu ya machafuko yaliyotokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe