Vikao vyaanza upya kati ya Serikali ya DRC na M23 | Matukio ya Afrika | DW | 16.01.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Vikao vyaanza upya kati ya Serikali ya DRC na M23

Vikao vya pamoja baina ya wajumbe wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na waasi wa M23 vimefunguliwa upya leo mjini Kampala nchini Uganda.

Waasi wa M23

Waasi wa M23

Vikao hivyo vinafanyika baada ya kukwama kwa siku nne, na tayari ajenda ya mikutano imekubaliwa na pande mbili husika.

John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Kampala. Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada