Vijarida vya kujifunza Kijerumani | Newsletter | DW | 12.01.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Newsletter

Vijarida vya kujifunza Kijerumani

Kijarida chetu kina faida chungu nzima zikiwemo vidokezo na ushauri kwa walimu na wanafunzi wa lugha ya Kijerumani. Kijarida hiki cha kila wiki kina habari za kufurahisha kuhusu lugha na kinajumuisha mazoezi ya hali halisi ya maisha. Tafadhali chagua kijarida utakacho:

Deutschlehrer Info – Kijarida cha walimu wa Kijerumani

DiF – Deutsch im Fokus

DaF – Kijarida cha kujifunza Kijerumani kwa wageni

InWent Alumni – Kijarida cha kimataifa cha maendeleo ya elimu