Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Sikiliza maoni a vijana hawa wa Mwanza kuhusiana na vile walivyojiandaa kupiga kura katika uchaguzi mkuu. #Kurunzi
Tuma Facebook Twitter Whatsapp Web EMail Telegram Facebook Messenger Web
Kiungo https://p.dw.com/p/3kUgd
Matumaini ya mivutano ya kisiasa ya muda mrefu Zanzibar kugeuka kuwa historia, yamezidi kuongezeka baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwakaribisha viongozi wa taifa hili kijijini kwake Chato geita Tanzania
Rais wa Tanzania John Magufuli ameahidi kufanya kazi na wapinzani wake baada ya ushindi wa kishindo katika uchaguzi ambao mpinzani wake mkuu aliuelezea kuwa wa udanganyifu mkubwa na Marekani ikasema ulikumbwa na dosari
Watanzania wanapiga kura leo katika uchaguzi mkuu ambapo Rais John Magufuli anayekiongoza chama tawala cha CCM anatumai kushinda muhula mwingine wa miaka miaka mitano kuliongoza taifa hilo la Afrika Mashariki.
Jeshi la polisi nchini Tanzania limewataka wanasiasa walioondoka nchini na kupata hifadhi ya makazi nje ya nchi kurejea kwani lipo tayari kuwapa ulinzi wa kutosha