1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana warembeshaji Dar es Salaam Tanzania

7 Desemba 2022

Kutana na vijana hawa warembeshaji Dar es Salaam nchini Tanzania. Kulingana na baadhi ya wateja, kazi yao inawavutia kina dada na wanawake wengi wanaotaka kurembeshwa. Dhana isoyokuwa na msingi wowote kwamba urembeshaji ni kazi ya wanawake, wao wameizika katika kaburi la sahau. Ahmad Juma na simulizi zaidi

https://p.dw.com/p/4Kal5