1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wanashughulikiaje masuala ya afya yao Pate, Kenya?

Thelma Mwadzaya/MMT22 Oktoba 2018

Je vijana wanaoishi katika vijiji vya mbali mfano visiwani, wanashughulikia vipi masuala yao ya afya? Makala ya Vijana Tugutuke inaangazia hali hiyo katika kisiwa cha Pate Kenya, na jinsi vijana wanaelimishana kwa njia mbalimbali kuhusu mada tofautofauti za Afya. Mtayarishi ni Thelma Mwadzaya

https://p.dw.com/p/36xsk