1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wanavyoathirika kiakili kutokana na corona

Fathiya Omar/MMT25 Mei 2020

Janga la COVID-19 linazidi kuchangia kuongezeka kwa maradhi ya afya ya akili hasa kutokana na wengi kukumbwa na msongo wa mawazo, mfadhaiko na wasiwasi wa namna watakavyokabiliana na janga hili na wengine wakiwa na wasiwasi wa kuambukizwa maradhi hayo. Sikiliza vijana kutoka Mombasa wanasemaje kuhusu hili kwenye makala ya Vijana Tugutuke.

https://p.dw.com/p/3cic0