Vijana wabunifu Tanzania | Vijana Mubashara - 77 Asilimia | DW | 05.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Vijana Mubashara - 77 Asilimia

Vijana wabunifu Tanzania

Kutana na vijana wahitimu wa Chuo Kikuu waliojiunga pamoja na kutengeneza vifaa vya somo la fizikia kwa ajili ya karakana za shule za sayansi. Vijana hawa kwa sasa wanatafuta nafasi ya kutangaza vifaa vyao kwenye shule za sekondari nchini Tanzania. Tazama ubunifu wa vijana hawa katika video inayosimuliwa na mwandishi wa DW Dotto Bulendu.

Tazama vidio 02:32
Sasa moja kwa moja
dakika (0)