1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana na Ujasiriamali Mombasa, Kenya

Josephat Charo
15 Julai 2018

Uhaba wa ajira ni miongoni mwa changamoto kubwa katika maeneo mengi Afrika Mashariki. Nchini Kenya, kulingana na utafiti uliofanywa na shirika la kitaifa la takwimu, Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) wakenya millioni saba hawana kazi. Kati yao, millioni 1.4 wamekuwa wakitafuta kazi kwa udi na uvumba. Jiunge na Fathiya Omar katika Vijana Tugutuke.

https://p.dw.com/p/31Tmo
Kenia Diskussion über Gründertum in Mombasa
Kutoka kuli. Fathiya Omar, Amani Katana, Kezziah Oloo na Michael KiiwoPicha: DW/F. Omar
Kenia Diskussion über Gründertum in Mombasa
Kutoka kulia: Fathiya Omar, Michael Kiiwo, Kezziah Oloo na Amani KatanaPicha: DW/F. Omar