1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wa Kitanzania wapambana kuunda Satelaiti

27 Julai 2023

Tanzania imedhamiria kurusha Satelaiti yake ya kwanza katika kipindi kifupi kijacho. Lakini wakati mipango ikiendelea, kuna kundi moja la vijana nchini humo tayari linapamba kuunda Satelaiti ndogo itakayotumika kufuatilia mwenendo wa hali ya hewa. Mawazo hayo ni mwendelezo wa ubunifu wa vitu vingi vya teknolojia vinavyofanywa na vijana wa taifa hilo la Afrika Mashariki.

https://p.dw.com/p/4UTt2
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio