1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wa Kijerumani na wa Kiafrika wafanya mashauriano huko Zanzibar,Tanzania

24 Februari 2009

Rais wa Ujerumani, Dr. Horst Köhler, alianzisha programu ya kuwakutanisha pamoja vijana kutoka vyuo vikuu vya Ujerumani na wale wa vyuo vikuu vya Kiafrika kutembelea nchi mbali mbali.

https://p.dw.com/p/H0Ff
Rais wa Ujerumani Dr.Horst KöhlerPicha: picture-alliance/dpa


Vijana hao jana walikuweko Kisiwani Zanzibar na wakapewa maelezo na wasomi katika warsha iliopewa jina la GO Africa Go Germany. Viongozi hao huenda wakawa viongozi wa hapo kesho.


Othman Miraji alizungumza na Dr. Mohammed Bakari wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam aliyeongoza warsha hiyo huko Zanzibar.. ambaye kwanza alikuwa na haya ya kueleza.