1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wa Goma wataka jeshi la kikanda kuondoka

18 Januari 2023

Mamia ya vijana wenye hasira wameandamana mchana kutwa wa Jumatano katika mji wa Goma mkoani Kivu Kaskazini wakitaka kuondoka haraka kwa kikosi cha nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wakikituhumu kushindwa kupambana na waasi wa M23.

https://p.dw.com/p/4MNLU