1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wa Congo wabadili maisha kupitia DW Kiswahili

Saumu Mwasimba
30 Oktoba 2020

Vijana wa Congo washawishika kubadili maisha kupitia vipindi vya Redio Dw Kiswahili. Vijana wa Mashariki mwa Congo wamejikusanya kuanzisha shughuli na harakati za kimaendelea baada ya kuwa na vikundi vya kuisikiliza Redio hii ya kimataifa kutoka mjini Bonn. Kipindi hiki cha Karibu kinakusogezea vijana hao waliotembelewa na mwandishi wetu Benjamin Kasembe. Sikiliza Karibuni na Saumu Mwasimba

https://p.dw.com/p/3kec4
Schauspieler CrimeFighters-Produktion 2015 in Nairobi
Picha: DW/J. Salmi-Maas
Schauspieler CrimeFighters-Produktion 2015 in Nairobi
Picha: DW/J. Salmi-Maas