1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana Tugutuke - Haki ya vijana kupata taarifa

Reuben Kyama30 Septemba 2022

Reuben Kyama amewaleta mezani vijana kadhaa kujadili iwapo wanafahamu umuhimu na haki yao ya kupata taarifa. Iwe za serikali, taasisi za umma na hata nyingine zitakazowasaidia kutimiza majukumu yao. Wasikilize vijana wenzako na uwatumie makala hii wengine.

https://p.dw.com/p/4HayZ