VIJANA NA MITANDAO YA KIJAMII | Mada zote | DW | 03.11.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Timu Yetu

VIJANA NA MITANDAO YA KIJAMII

Kilimo salama

Mitandao ya kijamii sasa imekuwa sehemu ya ukweli sio tu wa kimawasiliano, bali pia kimaendeleo katika jamii nyingi, hasa miongoni mwa vijana katika mataifa ya Afrika, ambao ndio wanaunda idadi kubwa zaidi ya wakaazi wa bara hilo. Vijana wa Kenya wanatumia mitandao ya kijamii kuhamasishana katika kilimo salama kwenye maeneo ya mijini kupitia kampeni wanayoiita ''Adilisha''. Leonida Odongo, ni afisa programu wa kampeni hiyo.