1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana Mchakamchaka: Maazimio ya mwaka mpya 2023

Lilian Mtono
9 Januari 2023

Mwaka mpya umeanza na kila mtu huweka maazimio yake kuanzia kuwa na hamu ya kufanya miradi, kuacha tabia fulani, kufanya mazoezi au hata kuanzisha uhusiano mpya wa kimapenzi. Je, umejiwekea maazimio gani ya mwaka mpya? Umepanga vipi kuyatimiza maazimio yako? Katika Makala hii, Lilian Mtono anaangazia njia bora za kutimiza malengo na maazimio ya Mwaka Mpya.

https://p.dw.com/p/4LuV8