Vijana kusaidia familia ni kizingiti kwa maendeleo yao? | Media Center | DW | 13.08.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Vijana kusaidia familia ni kizingiti kwa maendeleo yao?

Baada ya kujitahidi kufikia pale ulipo kimaisha, kuna hali ya furaha ndani yako. Lakini huenda ikawa hauko pekeyako katika kufurahia mafanikio yako, vijana wengi siku hizi wanahisi shinikizo kubwa kuzisaidia familia zao.

Tazama vidio 01:53